Weka PIN
Mtaa yako, delivered.
Order moja, mwanzo hadi mwisho. Ni sekunde thelathini tu.
Chagua duka.
Gusa duka kwa ramani uagize.
Bei ni ya duka.
Duka ndio inaweka bei. RedCup haikati kitu.
Nani anasonga?
Kila gari inahesabu. Fair Move inaweka fee, na mover anakula yote.
Iko njiani.
Fuata mover kutoka counter hadi gate yako.
6 dak
Hodi hodi.
Mover yuko gate. Soma PIN yako upokee order.
PIN yako4821
Handover. Hakuna stories.
Duka imebaki na bei yake, mover amekula fee yote, na RedCup imechukua 0%. Hiyo ndio story yote.
+1 handover kwa Trust Passport yako. Inapatikana, hainunuliwi.
Order ya mfano#204
Order yako itaprint hapa
- Mama Wanjiku Stores
- Duka
- Unga 2kg, mayai x6Bei ya duka
- KES 330
- Commission ya RedCup
- 0%
- Delivery · Bodamover anakula 100%
- KES 90
- PIN ya handover
- 4821
Umelipa duka na mover moja kwa moja · M-Pesa / TWINT
Chini ya 1 MB. Inafanya kazi hata network ikiwa mbaya.
RedCup ina-install moja kwa moja kutoka browser. Hakuna store, hakuna download kubwa.
Scan ufungue kwa simu
Malipo
- M-Pesa via Paystack
- TWINT