Rasimu. Itakaguliwa na wakili kabla ya launch.
Masharti
RedCup inaunganisha customers, movers na maduka. Maduka wanaweka bei zao na wanawajibika kwa bidhaa na huduma kwa customers wao.
Malipo yanatoka kwa customer hadi duka na mover kupitia M-Pesa ama TWINT. RedCup haishiki pesa za orders.
Masharti kamili yatawekwa hapa kabla ya launch.