R3d Cup
Pata app

Simamisha simu. Mtaa inasomeka poa ikiwa wima.

R3d Cup / Agiza

Agiza

Maduka unajua. Delivered mlangoni.

Maduka unajua. Delivered mlangoni.

Picha ya mfano: Mtaa yako, kwa app moja
Picha ya mfano: Mtaa yako, kwa app moja
01

Mtaa yako, kwa app moja

Duka, mama mboga, butchery, salon, pharmacy. Angalia maduka karibu nawe na uagize kwa bei zao, bila kuongezwa.

Picha ya mfano: Ona ikisonga
02

Ona ikisonga

Fuata mover wako live, kutoka counter ya duka hadi gate yako.

Picha ya mfano: PIN mlangoni. Hakuna stories.
03

PIN mlangoni. Hakuna stories.

Unasoma PIN ya nambari nne order ikifika. Bila PIN, hakuna handover.

Picha ya mfano: Mlangoni customer anasoma PIN ya nambari nne. Bila PIN, hakuna handover.

Handover PIN. Hakuna stories.

Mlangoni customer anasoma PIN ya nambari nne. Bila PIN, hakuna handover.

Inayofuata Songa

Pata app

Chini ya 1 MB. Inafanya kazi hata network ikiwa mbaya.

RedCup ina-install moja kwa moja kutoka browser. Hakuna store, hakuna download kubwa.

Scan ufungue kwa simu
Malipo
  • M-Pesa via Paystack
  • TWINT

Bado haiko area yako?

Nataka

Hakuna cookies, hakuna tracking. Soma notice ya faragha.